Kilimo: Ukosefu wa elimu waathiri kilimo biashara

Licha ya kilimo kuwa uti wa mgongo wa taifa la Kenya huenda ikawa vigumu kujivunia jambo hili. Hii ni kutokana na na hali kwamba wakulima wengi hawana ujuzi wa kuwawezesha kukuza na kuchuuza mazao

Posted Fri May 22 14:30:07 EAT 2015


What do you think of: Kilimo: Ukosefu wa elimu waathiri kilimo biashara