Mabadiliko NMG: Afisa Mkuu mtendaji mpya atajwa

Kampuni ya usambazaji habari ya Nation inatarajia kumkaribisha afisa mkuu mtendaji mpya. Linus Gitahi ambaye ndiye afisa mkuu mtendaji wa sasa anatarajiwa kumpisha Joe Muganda ifikapo mwezi Julai.

Posted Fri May 29 16:21:24 EAT 2015


What do you think of: Mabadiliko NMG: Afisa Mkuu mtendaji mpya atajwa