RWANDA: Wakazi wataka Kagame awanie urais tena

Wakazi wafika kwa utaratibu katika Bunge la Kitaifa kuwasilisha mapendekezo yao kuhusu kipengee cha katiba kuhusu hatamu ya rais. Wakazi hao walitaka hatamu ya Rais Kagame iongezwe kwa katiba.

Posted Wed May 27 15:30:50 EAT 2015


What do you think of: RWANDA: Wakazi wataka Kagame awanie urais tena