AFRIKA KUSINI: Ziara ya kibiashara ya Rais Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ameyataka mataifa ya bara Afrika kutangmana ili kuimarisha biashara miongoni mwao. Rais Kenyata aliyasema akiwa nchini Afrika Kusini alikokaribishwa na mwenyeji wake Jacob Zuma

Posted Fri May 29 15:54:20 EAT 2015


What do you think of: AFRIKA KUSINI: Ziara ya kibiashara ya Rais Kenyatta