SEMA NAMI: Profesa Kineene wa Mutiso

Profesa Kineene wa Mutiso amefunza Kiswahili nchini Ufanranza, Ujerumani, Rwanda, Ujapani, Uingereza na Korea Kusini. Kwa sasa yeye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi, behewa la Kikuyu.

Posted Mon May 25 13:22:32 EAT 2015


What do you think of: SEMA NAMI: Profesa Kineene wa Mutiso